Wakati
Xavi Harnandez,35, anajiandaa na kustaafu rasmi baada ya kuitumikia
Barcelona kwa miaka 17 ya maisha yake, swali je, atafanikiwa kuongeza
kombe jingine hapo keshokutwa.
Barcelona inashuka dimbani mjini
Berlin, Ujerumani kucheza fainaliya Ligi ya Mabingwa Ulayadhidi ya
Juventus ya Italia.Utaona katika picha hiyo hapo juu, Xavi akiwa amezungukwa na makongwe 24 aliyowahi kubeba akiwa na Barcelona kwa miaka 17.
Hapo kuna makombe manane ya La Liga, matatu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya,
mawili ya UEFA Super Cups, matatu ya Copa del Reys, sita ya Spanish
Supercups na mawili ya Kombe la Dunia kwa klabu.
.JE! ATAWEZA KUBEBA UBINGWA WA 25 NDANI YA BARCA KABLA AJASEPA?
Related Posts:
Yanga kupinga maamuzi ya TFF juu ya Okwi.Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga
maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya
Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya
kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi
kuwa huru.
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria ya Yanga, Sam
Mapande… Read More
Danny Welbeck aing'arisha Uingereza.Danny Welbeck straika mpya wa Arsenal
alifunga mara mbili kuisaidia England
kuifunga Switzerland kwa bao 2-0 katika
mchezo wa kufuzu michuano ya Euro 2016.
Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester
United aliziona vyavu dakika ya… Read More
FAIDA YA MAN UTD 'KUTETEREKA'Manchester United imetangaza kuporomoka kwa
faida ya kila mwaka wa fedha katika mwaka
ambao David Moyes alikuwa meneja. Klabu hiyo
ya Ligi Kuu ya England imesema kipato halisi
kimeporomoka kwa asilimia 84 na kufikia
takriban … Read More
Maicon aondolewa timu ya taifa ya Brazil kwa kashfa ya "Ushoga"
Brazil ilicheza mechi ya kirafiki na Colombia kule Miami Florida, hapo jumamosi, ikaibuka na ushindi wa 1-0, kwa goli lililofungwa na mshambuliaji wa Neymar.
Hivi sasa Brazil inajiandaa kukipiga na Ecuador hapo Jumatano, Se… Read More
John Bocco aanza mazoezi Captain John Bocco ameanza mazoezi kidogo
kidogo katika Gym ya kisasa ya Azam FC hapa
Chamazi - Azam Complex, Captain anaendelea
vizuri na jeraha lake alilolipata Kigali Rwanda
akiitumikia timu yake ya Azam FC. Hii ni leo
asb… Read More
0 comments:
Post a Comment