Facebook

Thursday, 4 June 2015

Argentina waandamana kutetea wanawake

Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Argentine - Buenos Aires kupinga mateso dhidi ya mwanamke .
Maandamano hayo yamefuatia mfulurizo wa visa vya mauaji yaliyoshtua taifa hilo , yakiwemo yale ya mwalimu wa chekechea ambaye bwana yake alimkata koo mbele ya darasa lake .
Vyama vya wafanyakazi , vyama vya kisiasa na kanisa katoliki wameunga mkono maandamano hayo Argentina imepitisha sheria dhidi ya unyanyasaji wa nyumbani, lanini wanaharakati wanasema kuwa hazitekelezwi ipasavyo .
Maandamano ya watu wachache pia yamefnyika katika nchi jirani za Chile na Uruguay.

Related Posts:

  • Makanisa kupunguzwa Burundi     Bunge la Burundi limepitisha muswada unaolenga kupambana na "mfumuko wa makanisa" nchini humo. Utafiti wa serikali mwaka jana uligundua kuwepo na madhehebu 557. Sheria mpya zinataka makanisa kuwa na wafua… Read More
  • Wanasayansi wagundua mapya kuhusu Malaria Kulingana na uchunguzi wa vimelea vinavyosababisha Malaria huweza kuishi kwenye  uboho (bone marrow) na kuepuka kinga za mwili na hivyo basi kusababisha maradhi. Uchunguzi huu umedhi… Read More
  • Viongozi wa Usalama Somalia wafukuzwa kazi. Maafisa wakuu wa usalama na wa polisi wamefukuzwa kazi kufuatia kundi la al-Shabab kushambulia ikulu ya Somalia, amesema waziri mmoja. Washambuliaji watatu waliuawa na wa nne kukamatwa, imesema ofisi ya rais. Al-Shaba… Read More
  • AL Shabaab washambulia ikulu Somalia wapiganaji wa AL shabaab Vikosi vya serikali Somalia vimefanikiwa kuidhibiti upya ikulu ya rais katika mji mkuu Mogadishu baada ya hapo awali wapiganaji wa kiislamu kuishambulia. Maafisa wanasema washambuliaji wapa… Read More
  • Kiongozi wa upinzani Ethiopia aonyeshwa kwenye TV Andargachew Tsege alikamatwa akiwa safariki kutoka Milki za kiarabu Kiongozi wa upinzani nchini Ethiopia, Andargachew Tsege, ameonekana kwenye televishen… Read More

0 comments:

Post a Comment