Facebook

Wednesday 3 June 2015

James Milner atua Liverpool.

Kiungo James Milner anakamilisha uhamisho kwenda Liverpool akitokea timu Manchester City midfielder.Milner miaka 29 anategemewa kuungana na Wekundu hao July mosi tayari kwa msimu mpya.Milner ameshinda Premier League mara mbili na FA mara moja.Amechezea timu ya taifa mara 53 na kufunga goli moja.

kwa umri wa miaka 29 na kiwango chake Liverpool inasababu ya kumpa mkataba ajiunge Anifield?

0 comments:

Post a Comment