Facebook

Wednesday 3 June 2015

Gundogan atua Man United

Manchester united imezipiku timu za Bayern Munich na Barcelona kwenye vita ya kupata saini ya mchezaji wa Borussia Dortmund.
Mchezaji huyo ambae anacheza sehemu ya kiungo amekubaliana mambo ya msingi na Manchester united. Gundogan anatarajiwa kutangazwa na Manchester united kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo.

Ifahamike ya kwamba wiki iliyopita Gundogan alifanya mazungumzo na klabu mbili ambazo ni Bayern Munich ma Barcelona.Lakini muda mchache uliopita BantuTz tumepata taarifa ya kwamba pande mbili kati ya Gundogan na Man United wameafikiana.

Endelea kutembelea www.bantutz.com kwa habari zote za michezo.

0 comments:

Post a Comment