Facebook

Wednesday 3 June 2015

Arsenal yamtengea dau Kondogbia.

Hakuna timu ambayo ipo nyuma kupata wachezaji
wazuri kwa ajili ya msimu ujao. Ukikaa nyuma muda
wa usajili maisha hayatakua mazuri muda wa msimu
ujao.
Arsenal inakomaa kumpata mchezaji Kondogbia ambae
pia anatakiwa na Inter milan. Mchezaji huyu
anamilikiwa na Monaco na wanakomaa kwa kutaka
ada ya €35 million (£25.4m). Harakati zinaendelea ili
Arsenal waweze kumpata mchezaji huyu

0 comments:

Post a Comment