Facebook

Wednesday 3 June 2015

Diego Costa akanusha taarifa za kutaka kuondoka Chelsea.

 
Mshambuliaji Diego Costa ametupilia mbali taarifa kuwa anataka kuondoka Chelsea na kurejea Spain. Mchezaji huyo, 26, alihamia Chelsea akitokea Atletico Madrid mwaka jana kwa pauni milioni 32.Akizungumza na Chelsea TV amesema: "Napapenda hapa, mashabiki wananipenda na ninataka kubakia hapa."

0 comments:

Post a Comment