Facebook

Wednesday 3 June 2015

Chelsea yarusha ndoano kwa Gundogan.

Timu ya chelsea inatajwa katika mbio za kuhitaji saini ya mchezaji IIkay Gundogan kutoka Dortmund lakini taarifa zinasema mchezaji huyo yupo katika mazungumzo na vilabu vingine vya Barcelona, Manchester United.Bayern na Arsenal zinatajwa kumchukua mchezaji huyo
Mchezaji huyo anasema mazungumzo hayajakamilika na kufikia maamuzi ya mwisho

0 comments:

Post a Comment