Facebook

Wednesday 3 June 2015

Cleveland Cavaliers na Golden State Warriors kumenyana leo katika fainali ya kwanza NBA

Cleveland Cavaliers na Golden State Warriors wanapambana siku ya Jumatano, katika mechi ya kwanza ya fainali za NBA- ligi kuu ya mpira wa kikapu ya Marekani.
Mara ya mwisho kwa Warriors wa jiji la Oakland kushinda ilikuwa mwaka 1975, huku jiji la Cleveland likiwa halijapata ushindi tangu mwaka 1964, wakati huo Cleveland Browns waliposhinda NFL.
Wachezaji nyota LeBron James na Stephen Curry watakuwa na matumaini ya kusaidia timu zao kupata ushindi.

0 comments:

Post a Comment