Facebook

Wednesday 3 June 2015

Neymar aiomba Barca kumuongeza mkataba Dani Alves.


Inaonekana Dani Alves anaweza kuondoka Barcelona mara mkataba wake ukiisha msimu huu.Lakini mchezaji mwenzake Neymar ameomba apewe nafasi ya kubaki Nou Camp.Makubaliano kati ya Alves na Barcelona hayajakamilika,Mbrazil huyo mwenye miaka 32 yupo tayari kubaki Barca kwa mkataba mpya,lakini timu mbalimbali zinamnyatia huku Man United wakipewa nafasi kubwa kumpata.
 

Dani atabaki Nou Camp ama ataondoka msimu huu?

0 comments:

Post a Comment