Facebook

Wednesday 3 June 2015

Benitez kutangazwa kocha mpya Real Madrid.


Rafael Benitez anatarajiwa kutangazwa leo hii kuwa meneja mpya wa Real Madrid. Meneja huyo wa zamani wa Liverpool na Chelsea, aliyekuwa meneja wa Napoli msimu wa 2014-15 atachukua nafasi ya Carlo Ancelotti kwenye uwanja wa Bernabeu.

0 comments:

Post a Comment