Facebook

Tuesday 2 June 2015

Mbunge wa Jimbo la Ukonga afariki dunia.

Bunge la jamhuri limepata msiba wa kufiwa na
mbunge wa jimbo la Ukonga, alikuwa na tatizo
la shinikizo la damu kwa muda mrefu, Amefariki
nyumbani kwake hapa Dodoma. Nyumbani kwa
marehemu ni eneo la Chaduru opposite na jengo
jipya la hoteli ya Shabiby barabara ya Dar es
Salaam, Mwili umepelekwa hospitali ya mkoa wa
Dodoma kwa uchunguzi zaidi.
Shughuli ya Kuaga itafanyika kesho baada ya
kuwasili hapa Dodoma. Tutatumia mtandao wa
simu kuwajulisha taarifa zaidi, kwa jinsi hio
natumia kanuni ya 152 kuahirisha bunge hadi
keshokutwa Alhamis.

0 comments:

Post a Comment