Mlipuko wa moto katika kituo cha mafuta, Accra Ghana umeua watu 96 na uchunguzi zaidi unaendelea..Polisi wamezungushia uzio eneo hilo kwa sababu za usalama zaidi na kuchunguza idadi kamili ya watu waliopata madhara kutokana na mlipuko huo wa moto na kubaini chanzo chake. Hata hivyo mlipuko huo uliotokea baada ya mvua kubwa iliyosababisha mafuriko ya maji katika maeneo mengi ya mji wa Accra. Baadhi ya maeneo hayana umeme kutokana na kukatika kwa umeme,baadhi ya barabara hazipitiki kutokana na mafuriko hayo.
Thursday, 4 June 2015
Moto waua 96 Accra-Ghana

Related Posts:
Soma kilichoandikwa katika magazeti ya leo Jumamosi, Machi 14 … Read More
Mama mjamzito azalishwa bila kupenda baada ya kuchomwa kisu tumboni.Maafisa wa polisi katika jimbo la Colorado wanasema kuwa mwanamke mmoja alimdunga kisu mwanamke mjamzito katika tumbo lake na kumchukua mwanawe ambaye alikuwa hajazaliwa. Mwathiriwa ambaye alikuwa mja mzito wa miezi saba anat… Read More
Watumia mifuko ya plastiki badala ya kondomu Uganda.Mahitaji yanafanya waganda kuwa wabunifu hata katika masuala ya kondomu. Katika eneo la Kiyindi, wilaya ya Buikwe-mashariki ya Kampala, watu wanatumia kondomu bandia –wao huita “buveera- kutokana na mifuko ya plas… Read More
Mahakama yamuhukumu aliyekuwa mke wa Rais miaka 20 gerezani Ivory Coast.Mahakama nchini Ivory Coast imemhukumu aliyekuwa mke wa Rais wa nchi hiyo Laurent Gbagbo, kifungo cha miaka 20 gerezani. Simone Gbagbo amehukumiwa kifungo hicho baada ya kukutwa na hatia ya kushiriki katika ghasia zilizotokea… Read More
Makao Makuu ya Rais yashambuliwa YemenRais wa Yemeni Abd Rabbuh Mansour Hadi amehamishwa hadi mahala salama baada ya mashambulio ya angani katika maskani yake katika mji wa Aden, Kusini mwa taifa hilo. Bwana hadi alitoroka kutoka mji wa Sanaa ambao umetekwa na Wa… Read More
0 comments:
Post a Comment