Facebook

Thursday 4 June 2015

Hizi ndizo timu zilizoingiza pesa nyingi Ligi Kuu Uingereza msimu uliopita.

 
Takwimu mpya zimetoka zikionyesha club gani imeingiza kiasi gani kwa msimu uliopita wa 2014/2015.Mpangilio wa table ya ligi haujalishi kwenye swala la kuingiza pesa nyingi.
Mfano Manchester united kwenye ligi imekua ya nne lakini kwneye listi ya kuingiza pesa nyingi imekua ya tatu.Liverpool kwenye ligi imekua ya sita lakini kwenye msimamo wa kuingiza pesa imekua ya tano.Pesa hizi zimetokana haki ya matangazo kwenye TV mbalimbali, Chelsea imeongoza na kuweka rekodi ya £98,999,554.

0 comments:

Post a Comment