Mchezaji
nyota wa Bayern Munich Bastian Schweinsteiger anabaki chaguo namba moja
la timu ya Manchester United kwa nafasi ya kiungo msimu huu.Lakini
United wapo tayari kumpata mchezaji kiungo wa Southampton Morgan
Schneiderlin kama watashindwa kukamilisha mipango ya uhamisho wa
Mjerumani huyo.
Je Kocha Luis Van Gaal atakamilisha usajili wa mchezaji huyu kujiunga Old Trafford?
Wakala "Ozil anaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu"Dr Erkut Söğüt ambae ni wakala wa Mesut Ozil ametoa maneno ambayo yamewashtua watu wengi labda hasa mashabiki wa Arsenal. Wakala huyo akiongea na vyombo vya habari vya Uturuki alizungumzia uwezekano wa mchezaji…Read More
Walcott mbioni kujiunga Barcelona.Mshambuliaji wa Arsenal,Theo Walcott anaweza kujiunga na mabingwa wa La
Liga timu na Champions League timu ya Barcelona, Miamba ya soka hiyo ya
Hispania inafuatilia kwa ukaribu maendeleo ya mchezaji huyo wa kimataifa
wa En…Read More
Ivanovic 'kutupiwa virago' Chelsea.Kocha Jose Mourinho ameagiza watu wake wa 'scouting' kutafuta mtu ambae atachukua nafasi ya Ivanovic kutokana na jinsi kiwango chake kiivyoshuka kwenye mechi za karibuni Chelsea.
Kwa muda mrefu Ivanovic alikua ni mchezaji wa …Read More
Falcao kutua Darajani
Mchezaji Radamel Falcao anayecheza kwa mkopo Old Trafford anataka kubaki kucheza Premier League. Mcolombia huyo ameshindwa kuishawishi Manchester United kumnunua jumla. Falcao amefunga magoli manne tu Old Trafford, mchez…Read More
0 comments:
Post a Comment