Mshambuliaji
wa kutumainiwa wa Ndanda Fc, Gideon Benson amesaini kandarasi ya mwaka
mmoja na nusu kujiunga na kikosi ch Mbeya City fc kinachonolewa na Juma
Mwambusi katika msimu ujaoBenson ameweka kando ofa kadhaa alizopata kutoka vilabu mbalimbali vinavyoshiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara alizopata hapo kabla.
0 comments:
Post a Comment