Facebook

Wednesday 3 June 2015

Brendan Rodgers asalia Liverpool.

Brendan Rodgers anabaki klabuni Liverpool baada ya mazungumzo mazuri na mwenyekiti wa timu hiyo Tom Werner. Mazungumzo hayo yame mbakisha Rodgers kuwa meneja wa Liverpool.

Je! maamuzi ya kumbakisha Brendan Anfield, ikiwa timu haikufanya vizuri ni maamuzi ya busara kuinusuru timu?

0 comments:

Post a Comment