Facebook

Thursday 4 June 2015

Dante atakiwa Man United.

Mchezaji wa kimataifa wa Brazil Dante anatakiwa na timu ya Manchester United kwenda Old Trafford msimu huu. Timu ya Manchester ipo tayari kumpa mkataba mchezaji huyo kujiunga na mashetani hao.Lakini mchezaji mwenyewe Dante ameonyesha bado ana furaha na kutaka kuendelea kuitumikia timu yake ya Munich kwa misimu mingine zaidi

0 comments:

Post a Comment