Facebook

Wednesday 3 June 2015

Walcott akataa kuzungumzia mkataba mpya Arsenal

Theo Walcott hataki kuonyesha muelekeo wake ndani ya Arsenal ingawa mkataba wake umebakisha mwaka mmoja kuisha.Walcott alifunga katika fainali ya FA dhidi ya Aston Villa kwa ushindi wa 4 - 0.Mchezaji huyo ameviambia vyombo vya habari kwamba itachukua muda kabla kufikia makubaliano na Arsenal.Theo miaka 26 anafikiri Arsenal itapata vikombe vingine msimu ujao.
Unadhani Theo anahitajika na Arsenal kwa mipango ya kushinda kombe la Premier league msimu ujao?

0 comments:

Post a Comment