Facebook

Wednesday 3 June 2015

Yaya Toure 'Siondoki Man City'

Mchezaji Yaya Toure amethibitisha kuendelea kukipiga Manchester City msimu ujao, na anafuraha na heshima kwake kuendelea kuwepo Etihad pamoja na kuwepo na uvumi wa kuhamia timu ya Inter Milan ya Italy.Kiungo huyo miaka 32 bado anaonekana ana nguvu za kuendelea kukitumikia kikosi hicho kilichomaliza nafasi ya pili katika EPL.Kuendelea kubaki Toure Etihad itaongeza ari ya kupambana kwa Cityhuku iktajwa kama miongoni mwa timu zitakazogombania taji msimu ujao,

0 comments:

Post a Comment