Mchezaji raia wa Argentina Angel di Maria amethibitisha kubaki Manchester United msimu ujao.
Pamoja na tetesi za kujiunga PSG kwa ada ya ya Euro milioni 60. Di Maria amefunga magoli manne na kutoa pasi za magoli 12 kwa mashindano yote.
ADHABU YA POWELL YAPUNGUZWA
Bingwa wa zamani wa mbio za mita 100 Asafa Powell na Sherone Simpson
wote kutoka Jamaica wamepunguziwa adhabu ya kufungiwa, kutoka miezi 18
hadi miezi sita. Uamuzi uliotolewa na mahakama ya usuluhisi wa m…Read More
Ujeruman yapokelewa kwa shangwe.
Maelfu ya mashabiki wa soka nchini Ujerumani wamejitokeza mjini Berlin
kuwalaki wachezaji wa timu ya taifa walioshinda Kombe la Dunia.
Sherehe kubwa zimefanyika katika eneo la Brandenburg Gate, ambapo wacheza…Read More
MATOKEO YAZUA VURUGU ARGENTINA
Polisi wa Argentina wamepambana na waandamanaji katika mji mkuu, Buenos
Aires baada ya nchi hiyo kufungwa na Ujerumani katika mchezo wa fainali
ya Kombe la Dunia.
Mapema jana jioni maelfu ya watu walikusanyika…Read More
Adidas waingia mkataba mnono na Manchester United.
Kampuni ya Adidas imesaini mkataba wa pauni milioni 750 wa kutengeneza
jezi za Manchester United kwa miaka kumi kuanzia msimu ujao.
Hatua hii imekuja baada ya mahasimu wao wa Marekani, Nike, kuamua kutoen…Read More
Adebayor augua Malaria,atakosa ziara za Marekani.
Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur Emmanuel Adebayor atakosa ziara ya Marekani baada ya kuukutwa na Malaria. Adebayor, 30, alilazwa hospitali siku ya Jumamosi kwa kile klabu yake imesema "homa ndogo" ya malaria. A…Read More
0 comments:
Post a Comment