Facebook

Thursday 4 June 2015

Essien asaini mkataba wa miaka 2 Panathinaikos

Michael EssienNyota wa timu ya taifa ya Ghana na klabu ya
AC MilanMichael Essien amesajiliwa na kilabu ya Panathinaikos ya nchini Ugiriki kwa mkataba wa miaka miwili.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa ya Panathinaikos mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 amesaini mkataba wa miaka 2 baada ya kufikia makubaliano.

0 comments:

Post a Comment