Facebook

Tuesday 2 June 2015

Tevez,Mascherano marafiki wanaokutana fainali.

Carlos Tevez na Javier Mascherano ni marafiki wawili ambao walisajiliwa pamoja kwenye timu
ya West Ham na baadae wakaendelea kwenye timu mbalimbali hadi leo hii Masherano yupo Barcelona na Tevez yupo Juventus.
Siku ya June 6 kwenye fainali ya UEFA wataweka undugu na urafiki wao pembeni na kucheza kwa ajili ya timu zao.

0 comments:

Post a Comment