Facebook

Thursday 4 June 2015

Rais Mugabe apigwa picha akiwa amesinzia kwenye sherehe Nigeria

Mugabe-Sleeping-600x369
Sio picha ya kwanza kutoka ikimuonesha Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe akiwa amesinzia kwenye matukio mbalimbali makubwa.. safari hii kapigwa tena picha akiwa amesinzia wakati wa sherehe za kuapishwa Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari.
Waziri wa Mawasiliano Zimbabwe, Prof. Jonathan Moyo kaingia kwenye ukurasa wake @Twitter na kupost Tweets zilizoonesha hajaipenda hii !!
MUGABE II mugabe III

Sahara Reporters wanalaumiwa moja kwa moja kwa kupiga picha hiyo na kuisambaza mitandaoni.
Hapa nina picha ambazo waliwahi kupigwa viongozi wengine wakubwa baada ya kukutwa wamesinzia.
sleepypoliticians9
Abdurrahman Wahid, picha hii ilipigwa wakati huo alikuwa Rais wa Indonesia
Naoto Kan, aliwahi kuwa Waziri Mkuu Japan ana Waziri wa Fedha vilevile
Naoto Kan, aliwahi kuwa Waziri Mkuu Japan na Waziri wa Fedha vilevile

0 comments:

Post a Comment