Facebook

Thursday 4 June 2015

Cristiano Ronaldo akamatwa "anachimba dawa’ mtaani"

RONA2
Nyota wa soka duniani Cristiano Ronaldo ameendelea ‘kula bata’ katika kisiwa cha Saint Tropez, Ufaransa akiwa na marafiki zake katika wakati huu wa mapumziko baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu.
RONAAA
Camera za mapaparazzi ziko nae kila kona, wakamnasa na hii usiku sana akiwa ametoka Club Le Quai na washkaji zake, akajibana sehemu ajisaidie haja ndogo.. camera zikamnasa pia !! Baadae inaonekana kuna Askari ambao walimkamata alafu wakamwachia.
Ronaldo
RONA5
RONA4
RONA6

0 comments:

Post a Comment