Facebook

Wednesday, 3 June 2015

Man United wapewa nafasi kubwa kumnasa Gundogan.

Manchester United inamwinda mchezaji IIkay Gundogan kutoka Dortmund lakini taarifa zinasema mchezaji huyo yupo katika mazungumzo na vilabu vingine vya Bayern Munich na Barcelona.
Timu za Arsenal, Chelsea zinatajwa kumchukua mchezaji huyo ,ingawa Manchester United inapewa chapuo kubwa la kumnasa mchezaji huyo mwenye miaka 24,kuja kukipiga klabuni hapo Old Trafford msimu huu.Mwenyewe anasema mazungumzo hayajakamilika na kufikia maamuzi ya mwisho

Related Posts:

  • Schneiderlin mbioni kuondoka Southampton kwa dau la Paundi Milioni 25.KLABU ya Southampton inatarajia kutaka kitita cha paundi milioni 25 kwa ajili ya kiungo Morgan Schneiderlin mbaye anawindwa na klabu za Arsenal na Tottenham Hotspurs. Klabu hizo zinazotoka kaskazini mwa jiji la London, zote z… Read More
  • Memphis Depay afuzu vipimo vya afya Old Trafford.Memphis Depay amekamilisha vipimo vya afya Old Trafford siku ya jana Jumatatu. Kwa mujibu wa tovuti ya Man Utd, klabu hiyo sasa itashughulikia kukamilisha usajili wakati dirisha la usajili la kimataifa litakapofunguliwa mwezi… Read More
  • SAFARI YA INZAGHI YANUKIA AC MILAN.VYOMBO vya habari nchini Italia, vimeripoti kuwa Silvio Berlusconi amethibitisha kuwa atamtimua meneja wa AC Milan Filippo Inzaghi mwishoni mwa msimu baada ya matokeo yasiyoridhisha. Berlusconi ambaye ndiye mmiliki wa timu hi… Read More
  • Golikipa Peter Cech mbioni Arsenal.Wakati Arsene Wenger akikanusha kutaka kumsajili Petr Cech, wakala wa kipa huyo, Viktor Kolar amethibitisha kwamba Arsenal ni miongoni mwa klabu tatu ambazo mlinda mlango huyo wa Chelsea angependa kujiunga. Kolar amesema klab… Read More
  • Xavi kuwaaga mashabiki wa Barcelona Alhamisi.KIUNGO mahiri wa kimataifa wa Hispania, Xavi anatarajia kutangaza uamuzi wake wa kuondoka Barcelona Alhamisi hii wakati akijiandaa kuhamia katika klabu ya Al Sadd ya Qatar. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 35 amekuwa akiitumik… Read More

0 comments:

Post a Comment