Facebook

Thursday, 4 June 2015

Wanasayansi-Sokwe anauwezo wa kupika kuliko binadamu

 
Wanasayansi kutoka Marekani wana imani kuwa sokwe wana uwezo na akili ya kupika chakula. Wanasayansi hao wamefanya baadhi ya majaribio ambayo yameonyesha kuwa sokwe wanaweza kupika mboga za majani na wana uwezo wa kuhimili kusubiri chakula cha moto.
Hata kama wanyama wengi wana desturi ya kula chochote wanachokipata na kula moja kwa moja. Watafiti kutoka chuo kikuu cha Harvard wanasema matokeo ya utafiti walioufanya unasema kuwa Sokwe wana uwezo wa kupika na inawezekana suala hili liligundulika muda mrefu uliopita.
Hivyo wanachokihitaji sokwe ni ujuzi wa upishi kwani imedhihirika kuwa wana uwezo wa kuhimili moto.

Related Posts:

  • Unakijua Chumba cha maajabu kilichopo juu ya dunia ?. Pichani ni mafundi wakiendelea kumalizia ujenzi wa chumba hicho. Sayansi ya Teknolojia ikiwa inaendelea kushika kasi siku hadi siku, chumba hiki maalum kilichojengwa juu ya safu za milima ya Alpine iliyopo Ufaransa … Read More
  • Ajali mbaya ya ndege na Parachuti NI AJALI MBAYA YA HUYU JAMAA NA NDEGE ANGANI Hili imetokea Florida Marekani ambapo mtu mmoja alikua anaruka akiwa na Parachuti lakini akakutana na ndege hii ndogo ambayo baada ya kumgonga walianguka chini… Read More
  • Gari linalojiendesha lenyewe lafanyiwa majaribio huko Japan, Taarifa ikufikie kutoka Samukawa, Kanagawa Japan ambako stori kubwa leo ni kampuni ya Nissan kupata furaha kubwa baada ya kufanikiwa kwa jaribio la gari walilolitengeneza ambalo linajiendesha lenyewe. Unaambiwa limetemb… Read More
  • Mtanzania anayekuja kuiokoa Dunia.Huyu ni kijana mwenye uwezo mkubwa,BantuTz imeona sio mbaya kukuletea makala kuhusu kijana huyu ambaye kwa namna moja au nyingine anaweza akawa mfano wa kuigwa na vijana wengine. Jambo moja ambalo wanafunzi waliosoma naye nch… Read More
  • Angalia vituo vya mabasi Dubai vyenye AC Dubai ni sehemu ambayo hata nchi nyingi kubwa duniani zinaipa salute… ni sehemu ambayo imejengwa kwenye miaka ya karibuni hivyo kufanya vitu vyake vingi kuwa vya kisasa na vyenye ubunifu mkubwa.   Ni sehemu … Read More

0 comments:

Post a Comment