Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Sunday, 31 May 2015

UCHAMBUZI FAINALI LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA Barcelona vs JUVENTUS Na Mr.CHOI.

   Naona siku zinazidi enda kufika kona kali na kama ilivyo hada tuliangazia upande wa baadhi ya historia muhimu zilizo wekwa na vilabu, wachezaji pamoja na makocha.   MALDIN-Michuano ya Uefa inashika nafasi ya pili kwa kuwa na mvuto zaidi kwa mashabiki wa soka kwenye ngazi zote nyuma...

Cristiano Ronaldo kuondoka Real Madrid

Gazeti la Ki-hispania Don Balón limedai kwamba kuenguliwa kwa Carlo Ancelotti, kuzorota kwa maelewano kati ya Ronaldo na Perez, kuelekea kuajiriwa kwa Rafa Benitez na supoti kubwa aitoayo Perez kwa Bale vimekua chachu ya kumfanya Ronaldo kufikiria kuihama klabu hiyo. Klabu zinazosemekana Ronaldo...

Hiki ndio Kikosi cha Frank Lampard kwa muda wote

Wachezaji wa Chelsea wametawala katika kikosi cha wachezaji 11 wa Frank Lampard. Lakini mkongwe huyo amewajumlisha David Silva na Sergio Aguero katika timu hiyo. kikosi hicho ni kipa(1) Peter Cech,Ivanovic(2), Ashley Cole(3), Claude Makelele(6), David Sila(7), Steven Gerrard(8),Kun Aguero(9),...

BantuTz MAGAZETINI:Soma kilichoandikwa katika kurasa za magazeti yote ya leo Jumapili,Mei 31

MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata habari nuhimu baada ya maombi ya wadau mbalimbali.Hapa utasoma kurasa za magazeti yote nchini.   Endelea...

China yapigwa vita na Marekani ujenzi wa baharini.

Marekani imetaka kuwepo usitishwaji wa ujenzi wa miradi kwenye maeneo yanayozozaniwa katika bahari ya kusini mwa China. Waziri wa ulinzi wa Marekani Ash Carter aliuambia mkutano mkuu wa ulinzi nchini Singapore kuwa tabia ya China eneo hilio imekiuka sheria za kimataifa Carter amesema kuwa kuvihami...

PSG yaweka historia Ufaransa baada ya kushinda kombe la Coupe de france

Timu ya Paris St. German imetengeneza historia baada ya kuwafunga Auxerre 1 - 0 to na kushinda kombe la Coupe de France jana Jumamosi. 1 - 0 Alikuwa Edinson Cavani aliyepeleka kombe PSG baada ya kufunga dakika ya 65 ya mchezo huo. Timu ya PSG imekuwa timu ya kwanza kushinda makombe manne kwa msimu...

Falcao kujiunga Mabingwa Chelsea.

Radamel Falcao anataraji kujiunga na Chelsea baada ya ndoto zake kwenda vibaya Manchester United. Timu ya Chelsea imeonyesha nia ya kumsaini Radamel Falcao kuwa msaidizi wa Diego Costa. Mcheza huyo miaka 29 anaamini atarudi katika kiwango chake baada ya majeruhi ya mda mrefu. Chelsea imefungua mazungumzo...

Chelsea yatakata mechi za maandalizi ya msimu.

Timu ya Chelsea imeshinda mchezo wa kirafiki 1 - 0 dhidi ya Thailand katika maandalizi ya msimu ujao huko Bangkok. Kinda wa miaka 17 kutoka timu B ya Chelsea Dominic Solanke aliwapa Blues uongozi wa mechi hiyo baada ya kupasia nyavu kipindi cha kwanza. Chelsea itamaliza msimu wake wa kujiandaa kwa...

Barcelona bingwa Copa Del Rey.

Timu ya Barcelona imeifunga Athletic Bilbao magoli 3 - 1 katika fainali ya Copa del Rey iliyochezwa usiku wa jana katika dimba la Nou Camp. 1 - 0 Lionel Messi alifunga goli la mapema dakika ya 20 kwa kuwapita mabeki wanne kabla ya kufunga goli murua la kukumbukwa . 2 - 0 Neymar alimalizia pasi vizuri...

Nacho Monreal akataa kuongeza mkataba Arsenal.

Nacho Monreal amekataa kuongeza mkataba Arsenal kwa mwaka mmoja mbele kutoka mkataba wake wa sasa. Inasemekana anataka kurejea Spain, gazeti la Spanish newspaper AS limeandika. Beki huyo wa pembeni ambaye pia ameshatumika kama beki wa kati, anahusishwa na kuhamia Atletico Madrid ama Athletic Bilbao. ...

Arsenal bingwa Kombe la FA.

Timu ya Arsenal imeshinda tena kombe la FA baada ya kuwaburuza Aston Villa 4 - 0 katika dimba la Wembley 1 - 0 Theo Walcott aliwapa uongozi Arsenal kwa goli la dakika ya 40 kipindi cha kwanza. 2 - 0 Alexis Sanchez akafunga goli la pili kwa shuti la umbali wa mita 25. 3 - 0 Beki Mjerumani Per Mertesacker...

Saturday, 30 May 2015

Hotuba ya Mh.Edward Lowassa akitangaza nia kugombea Urais kupitia CCM

HOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KWA AJILI YA KUTANGAZA NIA YA KUOMBA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KWA NAFASI YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA UTANGULIZI: Ndugu zangu wana-CCM na Watanzania wenzangu, Hii ni siku muhimu kwangu...

Hivi ndivyo viwanja vya michezo vilivyojengwa chini ya bahari Dubai.

Dubai ni moja kati ya miji inayokua kwa kasi sana duniani. Na ni miongoni mwa miji ambayo inafahamika kwa majengo ya kipekee na kifahari huku watu wengi kutoka sehemu mbali mbali duniani wakivutiwa kwenda Dubai kutalii ama kufanya biashara. Ni mpango wa kuboresha michezo nchini humo,...

Hivi ndio visiwa kumi vyenye mvuto zaidi duniani.

Hizi ni picha za visiwa 10 ambavyo viko kwenyeorodha ya visiwa vinavyoongoza kwa kuwa na mwonekano mzuri zaidi duniani.. Afrika tunawakilishwa na kimoja, unadhani kitakuwa ni cha TZ? 1. Providenciales – Uturuki 2. Maui – Marekani 3. Roatan – Honduras 4. Santorini – Ugiriki 5....