Facebook

Sunday 31 May 2015

Nacho Monreal akataa kuongeza mkataba Arsenal.

Nacho Monreal amekataa kuongeza mkataba Arsenal kwa mwaka mmoja mbele kutoka mkataba wake wa sasa. Inasemekana anataka kurejea Spain, gazeti la Spanish newspaper AS limeandika.
Beki huyo wa pembeni ambaye pia ameshatumika kama beki wa kati, anahusishwa na kuhamia Atletico Madrid ama Athletic Bilbao.
Ili kuepuka kumuacha kuhama bure, inasadikiwa Arsene Wenger ataanza kusikiliza ofa.

0 comments:

Post a Comment