Facebook

Saturday 30 May 2015

Hivi ndio visiwa kumi vyenye mvuto zaidi duniani.

madeira
Hizi ni picha za visiwa 10 ambavyo viko kwenyeorodha ya visiwa vinavyoongoza kwa kuwa na mwonekano mzuri zaidi duniani.. Afrika tunawakilishwa na kimoja, unadhani kitakuwa ni cha TZ?
pro
1. Providenciales – Uturuki
maui
2. Maui – Marekani
roatan
3. Roatan – Honduras
santo
4. Santorini – Ugiriki
koh
5. KO TAO – THAILAND
madeira
6. Madeira – Ureno
madeira
bali
7. Bali – Indonesia
mau
8. Mauritius
bora
9. Bora Bora- French Polynesia
nooo
10. Fernando De Noronha- Brazil

0 comments:

Post a Comment