Facebook

Monday 25 May 2015

Falcao arudi rasmi Monaco.


Klabu ya Manchester United imedhibitisha kuwa mshambuliaji waliye mchukua kwapo toka timu ya Monaco RADAMEL FALCAO atarudi monaco.Kocha wa Man United Luis Van Gal akiongea alisema "FALCAO ni mchezaji wa hali ya juu na mtu mzuri kwaniaba yangu na kila mmoja katika klabu ningependa kutamkia kila kheri katika maisha yake ya baadaye "


BantuTz ilipata wasaa wa kuhojiana na shabiki wa kutupwa nchini Tanzania, Jackson Gogad naye alisema hiki "Tunashukuru kwa mchango wake katika kipindi chote cha msimuu huu bado naamini wewe ni mshambuliaji mzuri na hakika ulikuwa mchezaji sahihi katika klabu yetu katika muda hakuwa sahihi.Tunakutakia kila kheri uendako mungu akubariki sana"

0 comments:

Post a Comment