Facebook

Saturday 30 May 2015

Jack Wilshere:Lazima Arsenal ishinde kombe la FA.


Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere amesema itakuwa ni kosa kubwa kama watashindwa kulinyakua kombe la FA hapo kesho katika fainali dhidi ya Aston Villa.
Jack Wilshere amesema Arsenal imepata huzuni kutopata nafasi ya pili katika ligi msimu huu.
Majeruhi yalimuacha nje muda mrefu msimu huu lakini sasa yupo vizuri na tayari kuanza mchezo wa fainali hapo kesho kama atapangwa kuanza dhidi ya Aston Villa.
Mchezo wa fainali ya kombe la FA utachezwa hapo kesho Jumamosi May 30 katika uwanja wa Wembely.

0 comments:

Post a Comment