Facebook

Monday 25 May 2015

Mwigulu Nchemba ajivua uongozi CCM kugombea Urais

NCHEMBA 
Mwigulu Nchemba ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara katangaza kujivua cheo hicho na kuanza rasmi mchakato wa kugombea nafasi ya kuteuliwa kugombea Urais TZ kwa tiketi ya CCM.

0 comments:

Post a Comment