Facebook

Sunday 24 May 2015

Hizi ndizo 'categories' zote za MTV Africa Music Awards 2015

mama 
 Hii sasa ni MTV Africa Music Awards 2015 zinarudi tena kwa msimu wa tano.
Tujiandae kuwaona nyota mbalimbali kwenye Red carpet South Africa ambako Tuzo za MTV zitakuwa zinatolewa pale Durban International Convention Centre July 2015.
Hapa nina categories zote zilizotambulishwa.
 MTV
Tuna nyetu wetu ambao Afrika inawajua kabisa kwenye muziki.. wewe unadhani nani na nani watatuwakilisha hapa?

0 comments:

Post a Comment