Facebook

Sunday 31 May 2015

Hiki ndio Kikosi cha Frank Lampard kwa muda wote


Chelsea Football Club Tanzania's photo.
Wachezaji wa Chelsea wametawala katika kikosi cha wachezaji 11 wa Frank Lampard. Lakini mkongwe huyo amewajumlisha David Silva na Sergio Aguero katika timu hiyo.
kikosi hicho ni kipa(1) Peter Cech,Ivanovic(2), Ashley Cole(3), Claude Makelele(6), David Sila(7), Steven Gerrard(8),Kun Aguero(9), Didier Drogba(10). Eden Hazard(11).
Lampard ameshinda mataji matatu Premier League, Manne ya FA na moja la Champions League kwa kipindi chake chote cha uchezaji wa miaka13 katika dimba la Stamford Bridge.

Je!unadhani amekosekana mchezaji gani katika kikosi hicho,Acha comment yako hapa chini.

0 comments:

Post a Comment