Facebook

Sunday 31 May 2015

Arsenal bingwa Kombe la FA.

Timu ya Arsenal imeshinda tena kombe la FA baada ya kuwaburuza Aston Villa 4 - 0 katika dimba la Wembley
1 - 0 Theo Walcott aliwapa uongozi Arsenal kwa goli la dakika ya 40 kipindi cha kwanza.
2 - 0 Alexis Sanchez akafunga goli la pili kwa shuti la umbali wa mita 25.
3 - 0 Beki Mjerumani Per Mertesacker akafunga kwa kichwa dakika ya 61
4 - 0 Akitokea benchi Olivier Giroud alifunga goli la mwisho kwa Aresal usiku wa leo na kuwamaliza Villa 4 - 0 kombe la FA.

0 comments:

Post a Comment