Timu ya Chelsea imeshinda mchezo wa kirafiki 1 - 0 dhidi ya Thailand katika maandalizi ya msimu ujao huko Bangkok.Kinda wa miaka 17 kutoka timu B ya Chelsea Dominic Solanke aliwapa Blues uongozi wa mechi hiyo baada ya kupasia nyavu kipindi cha kwanza.
Chelsea itamaliza msimu wake wa kujiandaa kwa mechi yake ya kirafiki na Sydney FC.
0 comments:
Post a Comment