Facebook

Sunday 31 May 2015

PSG yaweka historia Ufaransa baada ya kushinda kombe la Coupe de france

Timu ya Paris St. German imetengeneza historia baada ya kuwafunga Auxerre 1 - 0 to na kushinda kombe la Coupe de France jana Jumamosi.
1 - 0 Alikuwa Edinson Cavani aliyepeleka kombe PSG baada ya kufunga dakika ya 65 ya mchezo huo.
Timu ya PSG imekuwa timu ya kwanza kushinda makombe manne kwa msimu mmoja nchini Ufaransa
ikianza na Ligue 1,Coupe de la Ligue pamoja la coupe de france na jingine la kufungulia msimu wa ligi(pre season champions)

0 comments:

Post a Comment