Facebook

Sunday 31 May 2015

Falcao kujiunga Mabingwa Chelsea.

Radamel Falcao anataraji kujiunga na Chelsea baada ya ndoto zake kwenda vibaya Manchester United.
Timu ya Chelsea imeonyesha nia ya kumsaini Radamel Falcao kuwa msaidizi wa Diego Costa.
Mcheza huyo miaka 29 anaamini atarudi katika kiwango chake baada ya majeruhi ya mda mrefu.
Chelsea imefungua mazungumzo na Radamel Falcao jana Ijumaa kama anaweza kujiunga Stamford Bridge.
Kocha Louis van Gaal amethibitisha wiki iliyopita hawawezi kumnunua mchezaji huyo kwa mkataba wa Euro milioni 44.

0 comments:

Post a Comment