Facebook

Thursday 21 May 2015

Xavi atangaza rasmi kuondoka FC Barcelona.

Xavi Hernandez ametangaza rasmi kuondoka FC Barcelona mwishoni
mwa msimu huu huku akiwa ndio mchezaji aliyebeba makombe mengi
na klabu hiyo. Xavi anaelekea Qatar kujiunga na timu ya Al-Sadd

0 comments:

Post a Comment