Facebook

Sunday 31 May 2015

Cristiano Ronaldo kuondoka Real Madrid


Gazeti la Ki-hispania Don Balón limedai kwamba kuenguliwa kwa Carlo Ancelotti, kuzorota kwa maelewano kati ya Ronaldo na Perez, kuelekea kuajiriwa kwa Rafa Benitez na supoti kubwa aitoayo Perez kwa Bale vimekua chachu ya kumfanya Ronaldo kufikiria kuihama klabu hiyo.
Klabu zinazosemekana Ronaldo anaweza kujiunga nazo ni Chelsea, Manchester United, PSG, Manchester City .

0 comments:

Post a Comment