Facebook

Saturday 23 May 2015

HII NDIO ORODHA KAMILI YA WASHINDI-TUZO ZA WATU 2015


Majina ya washindi wa tuzo za watu 2015: BantuTz tumekuletea orodha kamili hapa.

1. Muongozaji wa video bora anayependwa na watu- Hascana

2.Msanii bora wa kiume anayependwa na watu-Ali Kiba

3.Msanii bota wa kike anayependwa na watu-Lady Jay Dee

4.Mwigizaji wa kike anayependwa-Wema Sepetu.

5.Filamu bora inayopendwa-Kigodoro (Zamaradi Mketema)

6.Mtangazaji bora anayependwa-D’Jaro Arungu – TBC FM

7.Muigizaji bora wa Kiume anayependwa-Hemed 'PhD'

8.Muongozaji bora wa filamu anayependwa- Vicent Kigosi 'Ray'

9.Kipind bora cha redio kinachopendwa-Papaso TbcFm

10.Kipindi bora cha runinga kinachopendwa-Mkasi-EATV

11.Tovuti bora inayopendwa-Millardayo.com

12.Mtangazaji wa runinga anayependwa-Salim Kikeke/BBC SWAHILI

13. Video ya muziki inayopendwa-Nani kama Mama – Christian Bella

Endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment