Facebook

Saturday 23 May 2015

Le Mutuz awaponda waandaaji 'TUZO ZA WATU 2015' kwa upendeleo uliokithiri.

Le Mutuz alishindwa kuvumilia baada ya sintofahamu iliyoigubika tasnia ya sanaa nchini ndani ya muda huu mfupi baada ya baadhi ya tuzo hizo kuonekana kwamba zimetolewa kwa upendeleo bila ya kuwapa wasanii waliostahili.

Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM Le Mutuz ameandiki hiki kama kinavyoonekana hapa chini.

0 comments:

Post a Comment