Facebook

Sunday 24 May 2015

Basi la Super Feo linalofanya safari Mbeya - Songea latumbukia Mtoni

 
Basi LA Super Feo linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Songea latumbukia mtoni Leo asubuhi. Super Feo hilo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Songea limetumbukia mtoni baada ya kuovertake na kukutana na lori mbele yake kisha kutumbukia mtoni karibu na eneo la Pipeline Inyara.
 
Tutakujuza kila kitakachokuwa kinatufikia kuhusiana na ajali hii endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment