Facebook

Friday 22 May 2015

ISIAKA NA NDEMLA WATIA SAINI SIMBA.

BEKI aliyewahi kuripotiwa kutakiwa na Real Madrid Castilla, inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Hispania, maarufu kama Segunda B, Hassan Isihaka(pichani)
amesaini Mkataba mpya wa miaka mitatu na Simba SC.

Mbali na Isihaka, kiungo chipukizi Said Hamisi Ndemla naye ameongeza Mkataba wamiaka mitatu pia.“Chipukizi hawa wawili, wote wataendelea kufanya kazi Simba SC hadi mwaka 2018.

0 comments:

Post a Comment