Facebook

Thursday 28 May 2015

Wakili Mkenya kutoa posa kumuoa mtoto wa Obama.


Taarifa kuwa wakili mmoja wa kenya amesema yuko tayari kutoa
mahari kwa mtoto wa raisi wa Marekani,Barrack Obama zimeenea
duniani kote Felix Kiprono amesema yuko tayari kutoa ng'ombe
50,kondoo 70 na mbuzi 30 kwa ajili ya mahari ya mtoto wa
Obama,Malia Obama.Hivyo anajiandaa kuzungumzia swala hilo na baba
wa mtoto huyo atakapo tembelea Kenya ,mwezi Julai.

0 comments:

Post a Comment