Facebook

Friday 22 May 2015

Takwimu kuhusiana na matumizi mabaya ya mitandao.


http://www.tutorialspoint.com/shorttutorials/wp-content/uploads/2014/03/2014-02-21_06-38-38.png
Habari ndugu watanzania wenzangu na watu wote wa Africa, hasa upande wa East Africa. Naamini mko salama wote,Ujumbe hii ni mahusus kwa watumiaji wa mitandao mbali mbali, hakikisha unaipata kwa makini takwimu hii.

Maana Halisi ya neno MTANDAO, ni Uhusiano wa teknolojia katika urahisishaji wa kupatikana kwa taarifa mapema, kwa haraka, na kusambaa zaidi. Mitandao ndio inayotuwezesha hata sisi kuwasiliana kama hivi. Nikimaanisha SIMU, EMAIL, WEBSITES, MOBILE APPS, SERVERS na Kila kitu kama hicho.

Kuna wadau mbali mbali wanaomiliki BLOGS, WEBSITES, APPS na vitu kama hivyo, BIGUP sana kama umefikia hatua hii ama zaidi ya Hii.

http://www.tech-coffee.net/wp-content/uploads/2014/09/Website.jpg

Lakini kuna matumizi mabaya zaidi ya mitandao hasa katika mambo ya maana, mengine ni kweli lakini mengine ni upotoshaji na kuharibu sekta zetu zingine za kiuchumi na kijamii.

Naomba nitoe mfano kwa SEKTA ya ELIMU. Mtu anaweka picha za UTUPU kwa BLOGS, WEBSITES, APPS alafu anasema "WANAFUNZI WA CHUO FULANI WAKIFANYA YAO"

Najua mshaziona nyingi sana lakini, niwaambieni kitu?!? Yawezekana ni kweli kabisa wanafunzi wamejirekodi wakifanya hayo, ila unapoandika kwa MTANDAO unafanya mambo yapatikane kirahisi na kusambaa VIZURI. lakini unajua WEAKNESS yake kwenye system za kimataifa inakujaje???? Tazama hili

NIPO GOOGLE SEARCH ENGINE, Upande wa kuSEARCH IMAGES, Nimeandika University Students

https://www.reminetwork.com/wp-content/uploads/University_Students.jpg

Umeeona Kilichotokea Hapo

Sasa Narudi kwa LUGHA ya KISWAHILI/KIBONGO naandika Wanafunzi wa Vyuo Tazama kinachotokea pindi tu napoanza kuandika zile search predictions
Haya Matokeo yamekuja hivi

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZXsZ8goZl-52OtBjWc9UPuL6aZ8hH9I66pjpEiFaPkcvlQYCMtQCMSELLGs9JEyQULhk4mcY2CDL1GHH5Tl2IXfE47FEi8ktSWFCbRTfvXNSeiXyW-2ixl5MPsuZObbiNAUh0NwPUXDk/s1600/African.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpWPZQa9tLLfaf4qu2pZJr_mCDOaPsfiLKsS0CwZApiycvqFmX8dFmnnTUBrdWddaGxCwEluRdaxqGpEMifQ48Kk2uJZ8y-P2Er3huTtdBxKJtRfm5Su3u9-M-SyLrv2UP7TdlFnuIlLpj/s640/laya9.jpg

http://1.bp.blogspot.com/-w4LfyonjScQ/U32-yaIP40I/AAAAAAAAFrU/X5waSC8Qi0A/s1600/WANAFUNZI+PESA4.jpg

SWALI JE? ULIFAHAMU KUWA INGEKUWA HIVYO???

Hii ni system ya Web development tools ku CACHE files including images, na Google BOTS and Crawlers wanakazi hiyo tu kuREVIEW all Links to all Websites na kuzi INDEX kwa namna ya Uandikwaji wake, na picture size related to the Post iliyowekwa.

Sasa ukiweka POST yako kwa BLOG ama Website nakusema kuwa wanafunzi wanafanya hivi ama vile....Ujue moja kwa moja sekta ile inaenda kujaza related links ambazo hata hazitakiwi.
Ni kweli Tanzania nikisearch wanafunzi wa VYUO nakuta Hayo apo ....???

USHAURI:

Weka Topic yako kuhusu unachotaka kuandika lakini Jaribu kutazama picha utakazoweka hazita AFFECT Sekta Husika....Mfano unaweka " Wakulima Waminyana Mashambani...."

Mwekezaji akitaka kutazama hali ya kilimo akaandika Google.com Wakulima Tanzania....anakutana na LINKS zako ulizoweka picha Chafu ili upate SIFA na TRAFFIC kubwa kwenye mtandao wako??!!!

Andika kitu cha Kweli acha kuunga unga vipicha vya matukio ya NIGERIA, sjui Kenya na kuambatanisha kwenye POSTS zinazoweza ku AFFECT uchumi ama masuala ya Kijamii.
Kama umepata kitu kwa hii TOPIC THANKYU

0 comments:

Post a Comment