Facebook

Monday 25 May 2015

MASHABIKI WA CHELSEA WAJIPONGEZA KUCHUKUA UBINGWA WA LIGI KUU UINGEREZA

Baada ya jana vijana wa Josè Mourinho kukabidhiwa ubingwa wao katika viunga vya Stamford Bridge kwenye mchezo wao wa mwisho dhidi ya  Sunderland.

  Baadhi ya mashabiki wa Chelsea waliungana maeneo ya Break Point Kinondoni kusherekea ubingwa wa timu yao.

  Mashabiki hwo wanao unda kundi la pamoja kwenye mtandao wa Whats up pia waliweza kuangazia maswala mbalimbali katika kukuza umoja wao kwa makusudio mbalimbali.

   Halfa hiyo ilianza mishale ya jioni ikiongozwa na viongozi wa kundi hilo Khalid Ibrahim,Ally Baharia na Kamaiya panju.

0 comments:

Post a Comment