Facebook

Saturday 30 May 2015

Simba yasajili golikipa mahiri kutoka Zanzibar.

Mbwembwe Dimbani's photo.
Kipa wa JKU ya Zanzibar, Mohammed Abraham Mohammed (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ofisini kwake, Mbezi, Dar es Salaam mara baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo leo.

0 comments:

Post a Comment