Mtandao mmoja huko Ulaya baada ya kuandika sana habari za soka sasa wamekuja na kona tofauti kidogo na kuandika kuhusu orordha ya wachezaji wa soka wenye mvuto sana. Kwa lugha yao unaweza kusema kama The most handsome soccer players.Orodha yao ndio hii hapa kuanzia 10 hadi namba 1.
10. Cesc Fabregas
9)Gerard Pique (Spain)
7. Mario Gotze (Germany)
6. Fernando Torres (Spain)
4) Iker Casillas (Spain)
2) Kaka Brazil
1) Cristioano Ronaldo – Portugal
0 comments:
Post a Comment