Facebook

Sunday 24 May 2015

MOURINHO SITO RUSHA MEDALI YANGU LEO



The special one kila asemacho huwa ni habari kubwa, baada ya kuzungumza kuhusu ishu ya Barcelona na Real Madrid wangekua kwenye ligi ya uingereza maishayao yangekua magunu.
Hivi sasa amekuja na jipya, kama unakumbuka mwaka mwaka 2006 baada ya kuchukua taji la EPLalirusha medali yake kwa mashabiki.
Lakini alipoulizwa kwamba atarusha tena medali yake kwa mara nyingine hili ndilo lilikua jibu lake,”Mwanangu wa kiume hivi sasa anakusanya kila kitu changu.
Anachokifanya ni kuhifadhi kila kitu, wakatiule mwaka 2006 alikua mdogo sana lakini hivi sasa anakusanya kila kitu kuanzia jezi, medali na kila kitu.
Kuna wakati anaiba vitu vyangu na kuviweka kwenye collectionyake”.

0 comments:

Post a Comment